Header ads

Header ads
» » Maelezo ya kiufundi kuhusiana na simu mpya ya LG G4 Note yavujishwa mtandaoni

 Maelezo kuhusu simu ya LG G4 Note


Kuna maelezo ya kifundi yaliyovujishwa mtandaoni kuhusiana na simu mpya ya kampuni ya LG inayotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyovujishwa, simu hiyo yenye nambari ya usajili ya LG H968 inasemekana kuweza kubeba mojawapo kati ya jina la LG G4 Note au LG G4 Pro.
Maelezo zaidi yanaarifu kwamba simu hiyo itatolewa kwa aina mbili ambapo moja itafunikwa kwa gamba la bati ilhali nyingine kwa gamba la plastiki. Vile vile itaendeshwa kwa mfumo wa Snapdragon 820 Chipset.
Kampuni ya LG inatarajiwa kuzindua rasmi simu hiyo tarehe 10 mwezi Oktoba mwaka huu

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post