Header ads

Header ads
» » Google yazindua mitandao ya mitaani katika hifadhi za Kenya

google-streetview-national-reserve-kenya

Watumiaji wa kimataifa wa Google Street View sasa waweza kuchukua hali halisi ya Safari inayofanyika katika hifadhi ya taifa ya wanyama ya Samburu Kenya

Uzinduzi huo wa huduma ya mitandao ya mitaani kutoka Google kwa hifadhi hizo Kenya zimeanzishwa  hasa kusaidia katika uhifadhi wa ndovu ambao wamo hatarani zaidi kufuatia kuwa na ongezeko la biashara ya pembe za wanyama hao.
Picha maalum za wanyama,maeneo ya hifadhi hizo zilizoonyesha vumbi jekundu lilosambaa katika magari maalum ya kufanyia safari katika mbuga hizo zimechukuliwa.
Hapo awali picha zilizotumika katika "Google Street view" zilizua malalamishi kwa misingi ya kutaka faragha katika maeneo fulani.
Aidha wazo hili litawawezesha watamazaji kubonyeza na kupata mtazamo wa karibu wa makundi ya ndovu.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post