Header ads

Header ads
» » 50 Cent na matarajio ya nyumba yake barani Afrika

 "50 Cent kujenga nyumba yake Afrika"

Msanii wa Hip Hop kutoka Marekani, 50 Cent apeperusha video katika mtandao wa kijamii wa Instagram inayoonesha matarajio ya nyumba yake barani Afrika

Curtis James Jackson III jina halisi na msanii wa Hip Hop mwenye asili ya Afrika alizaliwa Julai 6 mwaka 1975 New York ambapo mamake Sabrina Jackson alikuwa na umri wa miaka 15.
Sabrina Jackson alifariki mwaka 1988 baada ya kupewa sumu katika kinywaji chake na mtu ambae hakutambulika.
50 Cent alifahamisha katika ukurasa wake wa Instagram kuwa atataharisha hafla kabambe licha ya kutangaza kuanguka kiuchumi siku zilizopita.
Mali za mwana hip hop huyo zinakadiriwa kuwa milioni 155 sarafu za Marekani.
50 Cent alijipatia umaarufu alipotoa wimbo wake unaokwenda kwa jina la "Candy Shop" na albamu yake ya "Get Rich or Die Tryin'’ yenye maana kutajirika au kufa umejaribu.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post