Header ads

Header ads
» » Safari ya ndege ilisitishwa Baada ya marubani na wahudumu kugundulika kuwa wamelewa

Marubani waliolewa wasababisha safari ya ndege kusitishwa

Shirika la ndege la Air Baltic kutoka Uswidi limeripotiwa kusitisha safari ya ndege ya asubuhi ya kuelekea kisiwa cha Crete kutoka Osolo baada ya kugundua marubani na wahudumu wamelewa.
Abiria wanaarifiwa kwamba walitoa ripoti kwa polisi baada ya kuhisi harufu ya pombe kutoka kwa wahudumu wa ndege hiyo.
Polisi waliwasili kabla ya ndege hiyo kuruka na kuwazuia marubani pamoja na wahudumu wote waliofikishwa katika kituo cha polisi kwa ajili ya uchunguzi.
Msemaji wa shirika la ndege la Air Baltic alitoa maelezo na kutoa ahadi kwa abiria 109 ya kuwafikisha katika kisiwa cha Crete haraka iwezekanavyo.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post