Header ads

Header ads
» » Msichana mwenye umri wa miaka 11 aliyebakwa na baba yake ajifungua mtoto

 

Msichana mwenye umri wa miaka 11 aliyebakwa na baba wa kambo nchini Paraguay alijifungua mtoto wa kike baada ya madaktari na mahakama kumzuia kutoa mimba.

Repoti kutoka hospitali alikojifungulia binti huyo ziliarifu kuwa mtoto huyo alikuwa na uzito wa kilogramu 3.5 na alikuwa mwenya afya.
Binti huyo alijifungua mtoto wake wa kike kwa njia ya upasuaji.
Sheria za Paraguay zinaruhusu kutoa mimba ikiwa mimba itahatarisha maisha ya mama.Sheria hii ndio iliyozuia mahakama kumruhusu binti huyo kutoa mimba.
Kulingana na takwimu za Amerika kusini wasichana wa miaka 10-14 huwa waathiriwa wa ubakaji.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post