Header ads

Header ads
» » Ifahamu pikipiki hii inayotumia Maji badala ya mafuta

 

CJ4oj3XWgAAlYZZ 

 

 

H


T Power H2O, Picha ya Upande ikionesha tanki la maji na mfumo mzima wa mabomba kwaajiri ya kurumia maji kutengeneza nguvu ya kuendeshea.

aijalishi kama maji ni machafu au maji ni masafi unacho hitaji ni kuyachuja na yatakua tayari kutumiwa.

Mfumo wa pikipiki hii unahusisha maji pamoja na betri ya gari, betri ya gari inasaidia kutenganisha haidrojeni kutoka katika maji. Baada ya kutenganishwa hydrogen hii hutumika kutengeneza nguvu inayoendesha pikipiki hiyo.
Pikipiki hiyo inaweza kwenda umbali wa kilometa MIA TANO kwa kutumia LITA MOJA TUU ya maji!
2AB7909000000578-0-image-a-22_1437494376616
Azevedo Akijaza maji katika tanki la pikipiki kabla ya kuanza kuiendesha.
Raia huyo wa brazil ambaye ni afisa jamii akielezea katika video hiyo amesema kuwa moja ya faida ya kutumia maji ni kwamba haktakuwa na uchafuzi wa mazingira maana shughuri hii hutoa mvuke na sio hewa ya kaboni monoksaidi.
2AB790A700000578-0-image-a-29_1437494423063
Azevedo hapa akiweka maji kutoka katika mto uliochafuliwa kuonesha kuwa hata maji yasiyo safi pia yanaweza kutumika.
Katika video hiyo  Azevedo anaonekana akinywa maji kuonesha kuwa kweli ni maji kisha kuijaza katika pikipiki, baadaye anaonekana akichota maji kutoka katika mto (uliochafuliwa) kisha anayajaza katika pikipiki na kuondoka. Hii siyo mara ya kwanza kwa kutengenezwa pikipiki ikatumia maji ila pengine hii inaweza kwenda mbali zaidi na kufikia hatua ya kutengenezqa kibiashara.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post