Header ads

Header ads
» » Facebook yavunja rekodi kwa kupata watumiaji bilioni 1 ndani ya siku moja

Rekodi mpya ya idadi ya watumiaji wa Facebook

Kampuni kubwa mtandao wa jamii wa Facebook imetangaza kuweka rekodi mpya kwa kuunganisha watumiaji bilioni 1 ndani ya siku moja.
Mkurugenzi mkuu wa Facebook Mark Zuckerberg, alidhihirisha mafanikio hayo kwa kupitia ujumbe alioandika siku ya Jumatatu tarehe 24 mwezi Agosti.
Kwa mujibu wa takwimu zilizopo, idadi ya watumiaji wa Facebook tangu tarehe 30 mwezi Juni imeonekana kuwa milioni 968 kwa siku ikiwa ni pamoja na watumiaji milioni 844 wa simu.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post