WaTanzania wenzangu nomba kuchukua nafasi hii kumpongeza dada yetu @ladivamillen ambaye amechanguliwa kwenda kuchukua BET Global Good Award kwenye tuzo za Mwaka huu za BET Awards Marekani. Ni category mpya ambayohaina mipaka na haina nominees kachaguliwa yeye kuwa anastahili kukabidhiwa tuzo hiyo. Lakini pia ni tuzo ya kwanza ya BET kwa Mtanzania.
Ni jambo la kujivunia. Mimi nimefurahi mnooooo alivyoanza kuzungumzia ugonjwa wake kama elimu kwa wengine watu walimbeza, wako walitaka kumkatisha tamaa ila sasa ona Mungu kamwinua katambuliwa kimataifa kwa kazi zake na dunia nzima tutam-salute pia. It's always about you and your God first. God bless you my sister @ladivamillen kwanza mzuri, una moyo mzuri, moyo wa dhahabu huna shida na mtu. You are a true Tanzanian Icon. More power to you. Mungu azidi kukuinua.
Nakupenda. Naomba tumpogeze dada @ladivamillen kwa heshima hii kubwa aliyopewa. Usengwile wanachama. ❤️❤️❤️#MwanamkeWaNguvu
Home
»
MATUKIO
» Millen Magese Kuwa Mtanzania wa Kwanza Kupata Tuzo ya BET, Ugonjwa Wake Wamfanya Ajulikane Dunia Nzima
Topics: MATUKIO
Imehaririwa na;- Unknown
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
KAIMU KATIBU MTENDAJI BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA Dkt. Charles E. Msonde. TAREHE: 16 JULAI 2014 TAARIFA YA MATOKEO...
-
The Kantanka is a car that was conceived, designed and made in Ghana. This brand of cars is probably the most promising of all the cars ma...
-
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dk. Hussein Mwinyi akihutubia wakati alipokuwa akiyafungua maonesho ...
-
nimekusanya list ya vitu 5 ambavyo kwa nchi za wenzetu kama Marekani, Ujerumani, Hispania, Ufaransa na Bangladesh pamoja na sehemu nyingine ...
-
Mambo vipi Rafiki yangu? Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaopendelea kuweka Pattern kwenye simu zenu kwa usalama zaidi, Basi msijali...
-
Kwa kawaida wajasiriamali wengi hasa wadogo wadogo huzingatia mipango ya kukuza mitaji, kuimarisha uwezo wa wafanyakazi, kukuza faida, k...
-
Kampuni ya simu nchini China ya Huawei yatoa tarakilishi zilizo na mtandao wa interneti kwa shule kadhaa magharibi mwa Uganda. Hatua hi...
-
Nchi inaweza kuwa maskini zaidi duniani kama wana Pato duni la Asili , Kuna rasilimali kidogo, ukosefu wa ajira na maendeleo ya chini ya ki...
-
Cocaine ilionaswa Polisi wa Ufaransa wamemkamata afisa mmoja wa kukabiliana na mihadarati ...
-
Kwa wale Rafiki zangu wa ma-gadgets and all that... wanaopenda vitu Vikalii. Hii ndiyo orodha ya simu ambazo zimetambulika kuwa...