Header ads

Header ads
» » Dunia na Visa: Uko Nchini CHINA Mamia Kukosa KAZI Kwa Kunuka KIKWAPA



Hama kweli ukistajabu ya Musa utaona ya Filaunu, SHIRIKA maarufu la Uchina, HAINAN AIRLINE limeweka masharti kwamba mbali na elimu na uzoefu lazima usinuke. Ukiwa mwili wako una harufu mbaya basi kazi huna. Ni China huko. Kwa mujibu wa gazeti la SZ News shirika hilo katika kuajiri marubaNi wapya lazima mtu ananuswa makwapa.Ukiwa unakikwapa, au makwapa yako yana harufu unanyimwa kazi. Kabla ya kuajiriwa katika shirika hilo la ndege. Hatua ya kwanza ni kunuswa kwapa zako. Wakuu wa shirika hilo wanajitetea wakisema, kwa vile marubani wanafanya kazi karibu zaidi na watu basi ni lazima wasiwe na harufu ya kutisha kwani harufu mbaya ya miili yao au makwapa huenda ikawapunguzia wateja.


Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post