Header ads

Header ads
» » NEWS | Msanii Mh TEMBA amefutiwa kesi yake ya kutishia kuua, soma zaidi hapa


temba
MAHAKAMA ya Mwanzo Temeke, jijini Dar es Salaam, imemuachia huru msanii wa muziki wa kizazi kipya, Amani James (33), maarufu kama Mheshimiwa Temba, aliyekuwa anakabiliwa na mashitaki ya kutishia kuua kwa kutumia kisu kutokana na wivu wa kimapenzi baada ya mlalamikaji kuona hana haja ya kuendelea na kesi.
Kesi hiyo namba 371 ya mwaka huu ilisomwa kwa mara ya kwanza febuari 25, mwaka huu mbele ya Hakimu Cloudia Frank wa mahakama hiyo.
Hata hivyo, mshitakiwa huyo baada ya kusomewa mashitaka yake aliachiwa kwa dhamana hadi machi 11, mwaka huu.
Kwa mujibu wa chanzo chetu machi 9, mwaka huu siku mbili kabla ya kutajwa kwa kesi hiyo, mlalamikaji Godfrey Deogratius maarufu kama Sulla aliomba mahakama ifute kesi hiyo kwa vile hana nia ya kuendelea nayo

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post