Header ads

Header ads
» » SIKILIZA NA DOWNLOAD TAARIFA KAMILI KUHUSU MWANAMKE ALIYEMTUPA MTOTO DIRISHANI AKIWA KWENYE BASI


Kamanda wa Polisi Singida, Thobias Sedoyeka amesema Jeshi la Polisi linamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mjukuu wake ambapo alimtupa mtoto huyo kwenye dirisha la basi ambalo lilikuwa kasi, mwanamke huyo Waridi Saidi alimtupa mtoto huyo akiwa kwenye basi namba T 981 ALS  la kampuni ya  Salumu Classic lililotoka Dar kwenda Kigoma.
Mama huyo alimtupa mtoto huyo kijiji cha Iguguno, wilaya ya Mkalama alimtupa mjukuu wake Mayasa Meshaki, Dk  Adamu Hussein amesema  walimpokea mtoto akiwa katika hali mbay kutokana na kuvuja damu nyingi na siku ya pili alifariki  dunia  kutokana na jeraha la kupasuka kwa fuvu la kichwa.
SAMSUNG
Lawaridi amesema; dirisha lilikuwa wazi yani nilimshusha tu nikamchukua Mayasa nikamtupa bila kutegemea… Watu wakanivamia sasa huku wanapiga kelele kuanza kunipiga… Wamenipiga sana tu, basi gari ikasimama wakawa wameenda kumtafuta mtoto… nikaambiwa mtoto amepatikana lakini mpaka dakika hii sijamuona...
SAMSUNG
Kuisikiliza taarifa hiyo wakati ikiwa inarushwa na ITV bonyeza download hapa.


Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post