Header ads

Header ads
» » HUYU NDIYE ASKOFU MWANAMKE ALIYECHAGULIWA NCHINI UINGEREZA


 
Mchungaji Libby lane amechaguliwa mwanamke wa kwanza kuwa askofu nchini Uingereza

Kanisa la Uingereza limemchagua askofu wa kwanza mwanamke.
Mchungaji Libby Lane atakuwa askofu wa Stockport mnamo mwezi January ,na kumaliza ukiritimba wa wanaume kuwa maaskofu katika kanisa hilo.
Amesema kuwa amefurahishwa na hatua hiyo.
Kanisa la Uingereza liliwachagua wanawake mara ya kwanza kama makuhani mnamo mwaka 1994.
Wanawake tayari wameruhusiwa kuwa maaskofu katika maeneo mengine ya jamii ya kianglikana ,ikiwemo Marekani na kusini mwa Afrika.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post