Nawatakia Waislamu wote
na Watanzania kwa ujumla Heri na Fanaka katika kusherehekea Sikukuu ya
IDD EL FITR.
Wakati tukisherehekea siku hii
muhimu, napenda kuwaasa Watanzania wote kushiriki kikamilifu kudumisha amani na kuishi vile Maandiko Matakatifu yanavyoelekeza.
Pia tunawaomba Waislamu wote tuyaendeleze yale matendo mema na mawaidha tuliyopata katika kipindi cha Mfungo Mtukufu wa Ramadhani.
Pia tunawaomba Waislamu wote tuyaendeleze yale matendo mema na mawaidha tuliyopata katika kipindi cha Mfungo Mtukufu wa Ramadhani.