Header ads

Header ads
» » MAMA SALMA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA OFISI YA TEWO SACCOS-TEMEKE

 
Mke wa Rais mama Salma Kikwete akizindua jiwe la msingi la ujenzi jengo la ofisi ya   TEWO-Saccos kwa kufungua kitambaa katika sherehe iliyofanyika wilayani Temeke tarehe 17.6.2014. Kushoto kwa Mama Salma ni Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Janneth Masaburi.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishangilia  baada ya kuzindua jiwe la msingi la ujenzi jengo la ofisi ya   TEWO Saccos kwa kufungua kitambaa katika sherehe iliyofanyika wilayani Temeke tarehe 17.6.2014. Kushoto kwa Mama Salma ni Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es salaam Ndugu Janneth Masaburi.
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la TEWO Saccos huko Temeke tarehe 17.6.2019
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Mjoumbe wa Bodi ya TEWO Saccos MamaCatherine John (Bi Nyakomba) wakati wa sherehe za uwekaji wa jiwe la Msingi la Saccos hiyo huko Temeke tarehe 17.6.2014

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post