Header ads

Header ads
» » MAJAMBAZI YAUA SISTA UBUNGO

Mwili wa Sista baada ya kupigwa risasi.
Kidole cha dereva kilichds by OnlineBrowserAdvertisingAd ons
Ganda la risasi likiwa eneo hilo la tukio.
...Dereva akiwasiliana na jamaa zake baada ya kupigwa risasi na sista aliyekuwa naye kuuawa.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.
SISTA wa Parokia ya Makoka iliyopo Kibangu, Dar ameuawa na majambazi yaliyokuwa kwenye bodoboda wakati akiingia kwenye gari akitokea dukani eneo la River Side, Ubungo jijini Dar es Salaam hivi punde.
Kabla ya kuuawa sista huyo, dereva wake alipigwa risasi mkononi na majambazi hayo

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post