Header ads

Header ads
» » Diamond afanya collablo na Davido kupata remix ya " My number one "


 
 Davido na Diamond wameamua  kuingia  studio na kufanya remix ya wimbo wa My number one  wa  msanii Diamond. 

Wimbo huo wali-perform kwa mara ya kwanza kwenye show ya fiesta iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders club.Bado taarifa za uwezekano wa wawili hao kufanyia video ya wimbo  huo hazijatoka..
 
Show ya pamoja kati ya Diamond na Davido ilikuja baada ya show kali aliyofanya Davido ambayo ilivutia wapenzi wengi wa muziki waliofika kwenye uwanja wa Leaders kwa ajili ya kuangalia performance za wasanii ambao hawakuweza kupanda usiku wa Jumamosi.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post