Header ads

Header ads
» » TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI ACHOMWA MOTO BAADA YA KUIBA MAHARAGE HUKO NGARA


Hapa wanakijiji huko mukarehe  wilaya ya ngara wakiushangaa mwili wa kijana huyo aliyeuwawa kwakusadikiwa aliiba maharage
Ama kwa  hakika hii ni hali ya hatari sana kwetu juu ya vibaka huu ni mwili wa kijana mmoja huko katika kijiji cha mukarehe wilaya ya ngara aliyechomwa moto akiwa kanyoosha mkono kama ishara ya kuomba kitu ila raiya hawakuona waliamua kukatisha uhai wake kwa kosa la kuiba maharage ambayo unayaona hapo chini

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post