Na Jumanne Nzagamba, Chunya.Nipo
kijijini Kanga, wilaya ya Chunya ambapo kwa macho yangu
nimemshuhudia mfanyabiashara mmoja akipewa kichapo kikali na
vijana watatu wa kisukuma ambao alikuwa akifanya
Kichapo
hicho kilianza baada ya baba mwenye nyumba kumuomba mtoto
wake wa darasa la sita amsomee maneno yaliyoandikwa katika
pikipiki hiyo...Bila kusita, mtoto aliyatamka maneno hayo kama yalivyoandikwa "JINYEE"..Baada ya kusomewa maneno hayo, Dingi wa kisukuma aligeuka mbogo na kuwataka vijana wake wamtimue mfanyabiashara huyo.
