Header ads

Header ads
» »Unlabelled » Msanii wa bongo movie/fleva apata ajali mbaya baada ya kugonga kalavati, analalamika kifua kinamuuma

Msanii wa Bongo movie/bongo fleva, Hemedi a.k.a PHD alipata ajali jana usiku maeneo ya kijitonyama kisiwani, alipokuwa akitokea sinza kumshusha swahiba wake Gelly wa rhymes.

Hemedy ambae haijulikani alikuwa anaendesha under influence au la, alijikuta akivamia kalavati lililopo pembeni ya mtaro na kusababisha ajali hiyo iliyopelekea gari alilokuwa nalo kuwa nyang'anya'nga

Hemedi ameumia sana hasa kifua na kwa sasa anaendelea na matibabu na anaonekana kuwa na maumivu makali baada ya kuandia status hii
hemedyphd

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post