Header ads

Header ads
» » Kesi ya madai yawataka T Pain, Dj Khalid na Rapper Ricky Ross kulipa dola 100,000,000 kwa wizi wa miziki

Kesi mpya imefunguliwa
 dhidi ya wazalishaji (producers) maarufu T-Pain na DJ Khaled, pamoja na Rapper Rick Ross, Pitbull na Cash Money Records, na makampuni mengine kadhaa ya kuchapisha na record label zenye uhusiano na producers hao.

Kesi hiyo imefunguliwa na Pul Batiste anae wakilisha bendi ya Batiste Brothers, bendi maarufu ya jazz iliyoanzishwa mwaka 1976, New Orleans, inawashtaki kwa kuiba mziki wa Batiste familly na kuichanganya na yakwao bila ridhaa yao wala kuwalipa chochote.
Kesi hiyo yenye kurasa 118 imewataja hasa kwa majina T-Pain, DJ Khaled, Pitbull, Rick Ross, Ace Hood na Cash Money kama watuhumiwa, ambao walitoa "idadi kubwa ya nyimbo zinazokiuka mashari yao.
madai hayo yanadai kuwa wimbo maarufu kama  "Blame It," na "Wurk Booty" za T-Pain na "All I Do is Win," ya DJ Khaled walichukuliwa kutoka katika nyimbo mbalimbali zilizoundwa na Batiste familly.
"majina kibao ya nyimbo zilizozalishwa na waliotajwa wanadai zimetengenezwa kinyume na sheria kwa kuingiza miziki ya Family Batiste katika miziki yao."
"Ni wazi washtakiwa wameiba beat , mashairi, melody na chords kutoka katika nyimbo za wenye mashtaka Plaintiff," madai hayo yanadai.
"nyimbo nyingi za washtakiwa zimekuwa zikiachiwa mara nyingi katika version nyingi na kuwa kila walichokiachia kilikuwa naukiukaji wa haki miliki," na hivyo kudai fidia ya dola 100,000,000
Mbali na wasanii na wazalishaji, makampuni ya mbali mbali ya uchapishaji yanayomilikiwa na washitakiwa, pamoja na record label kadhaa ikiwemo Def Jam na RCA / Jive, zimetajwa katika kesi hiyo.
Batiste inatafuta ni kutafuta kamili uhasibu, tuzo ya uharibifu halisi, pamoja na faida na amri ya mahakama ya kudumu ya kuzuia washitakiwa kutoka kwa kutumia nyenzo zozote zaidi zinazokiuka bila ruhusa.
BAHTISMA BLOG CHAGUO LA WATU.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post