Header ads

Header ads
» » CHEKI PICHA:NYOTA MANCHESTER UNITED,WAKE ZAO NA WAPENZI WAO WALA CHAKULA CHA USIKU PAMOJA NA KOCHA WAO...


Mtoko na mama watoto: Rooney akiwasili na mkewe Coleen (kushoto), wakati Moyes akionekana poa baada ya ushindi wa pili kazini


Katikati ya mji: Johnny Evans akiwasili na mkewe Helen McConnell (kushoto), wakati Nemanja Vidic akitembea na mkewe, Ana Ivanovic huko Deansgate, Manchester
Nafasi ya picha;Rio Ferdinand akipiga picha na shabiki huko Deansgate, Manchester



Beki Chris Smalling (kushoto) akiwasili na mpenzi wake, na kiungo Tom Cleverley (kulia) na hawara yake, Georgina Dorsett 



Kila mtu na wake: Robin na Bouchra van Persie (kushoto) akiwasili na kulia ni Ryan na Stacey Giggs



Masela: Danny Welbeck, Wilfried Zaha, David De Gea na Antonio Valencia wakitembea
Miamba: Alexander Buttner, Rio Ferdiand na Shinji Kagawa wakiwasili kwa chakula cha timu mjini Manchester

PICHA NA BAHTISMA BLOG CHAGUO LA WATU.
Read more: http://talkbongo.blogspot.com/2013/08/pichanyota-manchester-unitedwake-zao-na.html#ixzz2ccr8ILVZ

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post