Header ads

Header ads
» » BBA Updates: Hawa ndio final 5 baada ya Bimp na Angelo kuondoka siku ya jana


 Siku ya jana (August 18) ilikuwa ni siku ya 84 tangu mashindano ya BBA kuanza na pia ilikuwa ni final eviction ambapo Angelo (SA) na Bimp (Ethiopia) waliyaaga mashindano hayo, na kuwaacha top 5 ndani ya mjengo, na jumapili ijayo itakuwa ndio siku ya mwisho ya mashindano hayo.


     
Top 5 waliobaki
Delish (Namibia)
Elikem (Ghana)
Beverly (Nigeria)
Cleo (Zambia)
Melvin (Nigeria)

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post