poatel Africa
Thursday, 18 July 2013
0 No comments
Nelson Rolihlahla Mandela.
LEO
ni siku ya kuzaliwa kwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson
Rolihlahla Mandela. Mzee Mandela ametimiza miaka 95 ya kuzaliwa mbali na
afya yake kuwa mbaya baada ya kuwa mahututi kwa muda mrefu katika
hospitali moja nchini Afrika Kusini. Tunamtakia kila la kheri Mzee
Mandela katika siku yake ya kuzaliwa leo.
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.