Mangwea R.I.P Pretoria,Afrika Kusini
NDUGU wadau wa tovuti ya Habarimpya.com tunaomba
radhi kwa kuwaletea picha hii ya msanii wa muziki wa kizazi kipya Albert
Mangwea, aliyefariki Dunia juzi nchini Afrika Kusini,tunatambuwa kuwa
picha hii si nzuri lakini tumelazimika kuwaletea ili mshuhudie jinsi
mpendwa wetu alivyokuwa kabla ya kutengenezwa.
Kiukweli Mangwea alikufa kifo cha masikitiko, msanii huyo aliyewai
kutamba na wimbo wa Geto langu pamoja na mikasi iliyotengenezwa na
mwaandaaji wa ala za muziki nchini Tanzania P Funk Majani.
Mangwea alikutwa amekufa katika chumba walichokuwa wamelala na msanii
wa mwenzake M 2 The P, Mangwea alikutwa amelowa damu nyingi, ambazo
zilikuwa zikitoka kwa wingi kupitia mdomoni,puani na masikioni.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wameiambia Habarimpya.com
kwamba kitendo cha msanii huyo kuvuja damu nyingi ndiyo iliyosababisha
kifo chake na kwamba hata jopo la Madaktari waliompokea walishangazwa na
damu hizo kabla ya uchunguzi kufanyika.
Topics: MATUKIO
Imehaririwa na;- Unknown
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.

Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Kampuni ya magari ya Honda yafahamisha kuliingiza sokoni gari lao lipyamwaka 2020 lililo na uwezo wa kujiendesha...
-
Kuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa ...
-
Wanamazingira barani Afrika wamezitaka serikali za nchi za Afrika kuwekeza zaidi kwenye miradi ya teknolojia ya nishati endelevu, ili ...
-
Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani la taifa,Dk Charles Msonde Dar es Salaam. Juhudi za Serikali kuinua ufaulu wa m...
-
AY amefungua njia ya mafanikio kwa wasanii wengi wa Tanzania. Miongoni mwa watu walionufaika na mashavu yake ni Diamond. ...
-
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi jana jioni kwenye uwanja wa Mbegani, Bagamoyo Timu ya Yanga SC jana imekamilisha kujifua kwa m...
-
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ambae ameongea na Capital FM Nairobi, Mutula amekutwa akiwa amefariki dunia nyumbani kwake Macha...
Data Boosta

Ungana nasi Facebook
PPF FUND
