“Naomba kuchukua nafasi hii kuomba radhi kwa yeyote aliyekwazika kwa
maneno machafu yaliyoandikwa kwa wall yangu, na pia naomba nieleweke
kwamba sihusiki na chochote kupost au kuandika chochote kuhusu kikwete
foundation na picha za jdee ukiwa naked, sina ugomvi na yeyote naheshimu
hisia za kila mtu nikiamini kila mtu ana maamuzi yake.. Aliyeamua
kutumia jina langu kufanya hayo najua sasa unajiskia vizuri baada ya
matusi mengi niliyotukanwa.. Maisha hayaishii hapa siku zinaenda na
ukwali utafahamika siku moja … Mchana mwema.”
“Mi namuachia Mungu … Ya duniani yatalipwa hapa hapa, anayetengeneza
mazingira haya kunichafua ni baraka zinaongezeka .. I keep on moving
sirusishwi nyuma na kauli zenu zilizojaa chuki, dharau maisha
Yanaendelea.
Kiukweli napata lawama nyingi matusi mengi bila kujua kosa langu..
Account yangu ni hii sina nyingine na sijui nn kimeendelea huko, kiroho
safi tu naomba mtu aniambie kuna nini wapi nijue ivi mtanilaumu bure
tu.. No hard feelings.”
Home
»
»Unlabelled
» HATIMAYE ADAM MCHOMVU AFUNGUKA KUHUSU KAULI YA KUMCHAFUA LADY JAYDEE FACEBOOK. SOMA ALICHOKISEMA HAPA
Topics:
Imehaririwa na;- poatel Africa
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.

Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Kampuni ya magari ya Honda yafahamisha kuliingiza sokoni gari lao lipyamwaka 2020 lililo na uwezo wa kujiendesha...
-
Kuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa ...
-
Wanamazingira barani Afrika wamezitaka serikali za nchi za Afrika kuwekeza zaidi kwenye miradi ya teknolojia ya nishati endelevu, ili ...
-
Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani la taifa,Dk Charles Msonde Dar es Salaam. Juhudi za Serikali kuinua ufaulu wa m...
-
AY amefungua njia ya mafanikio kwa wasanii wengi wa Tanzania. Miongoni mwa watu walionufaika na mashavu yake ni Diamond. ...
-
Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi jana jioni kwenye uwanja wa Mbegani, Bagamoyo Timu ya Yanga SC jana imekamilisha kujifua kwa m...
-
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ambae ameongea na Capital FM Nairobi, Mutula amekutwa akiwa amefariki dunia nyumbani kwake Macha...
Data Boosta

Ungana nasi Facebook
PPF FUND
