Header ads

Header ads
» »Unlabelled » BAADA YA SKENDO YA UBAKAJI, REEBOK WAMEFUTA MKATABA NA RICK ROSS. SOMA KISA HAPA

Reebok wamefuta mkataba wao na Rick Ross baada ya umati wa watu kufurika katika store za Reebok mjini New York wakichukizwa na mashairi ya rapper huyo kwenye nyimbo ya “U.O.E.N.O. (You Ain’t Even Know It),”.
This is a lyric which put Rozzay in trouble “Put Molly all in her champagne, she ain’t even know it / I took her home and enjoy that, she ain’t even know it.”

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post