Header ads

Header ads
» » Whatsapp kumuwezesha mtumiaji kufuta ujumbe uliokwishatumwa.



Katika toleo la beta la simu za iOS, uwezo huo unaonekana katika eneo la ‘settings’. Kikubwa ni kwamba utaweza kufanya hivyo kama tuu mtumiaji mwingine bado hajausoma ujumbe huo. Kama ukishasomwa basi hautaweza ufuta tena. 

 Jinsi inavyofanya kazi
 whatsapp kufuta ujumbe uliokwishatumwa
Ukishatuma ujumbe basi utaweza kubofya na kuendelea kushikilia kwenye ujumbe huo ulioutuma na utapata mapendekezo mawili. ‘Edit’ yaana fanya maboresho au ufute – ‘revoke’. kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu, Hadi sasa WhatsApp wenyewe hawajatoa taarifa rasmi juu ya lini uwezo huo utakuja kwa watumiaji wote wa WhatsApp. Kikubwa ni kwamba ni kitu ambacho tukitegemee kuja katika toleo lolote jipya kwa sasa. 

Chanzo: highsnobiety.com

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post