Header ads

Header ads

headlines

    3:02 PM
» » Kenya yatimiza ahadi ya kutoa Laptop kwa shule za msingi



Wanafunzi wa shule ya msingi Butere katika kaunti ya Kakamega walikuwa mojawapo ya wanafunzi wa kwanza nchini Kenya kupata vipakatilishi au 'Laptop'.
Hadi kufikia sasa takriban shule 150 za msingi za mijini na vijijini zimepata vipakatilishi hivyo kutoka kwa serkali .
Mfumo wa kusoma kwa kutumia laptop hizo zitahamasisha ujuzi na pia kazi za pamoja katika maisha ya wanafunzi katika shule za msingi nchini Kenya.
Mradi huo ni ahadi iliyotolewa na chama cha Jubilee wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2013.
Kuchelewa kwa kutimiza ahadi hiyo kumekosolewa vikali na upinzani nchini humo wakidai Jubilee hawatimizi ahadi zao

Chanzo: standardmedia.co.ke

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Kijana wa miaka 10 aliyegundua mbinu ya kufuta maandishi Instagram azawadiwa dola 10,000 na Facebook
»
Previous
Nchi 11 za Afrika zazindua eneo moja la kupata mtandao