
Baada ya miezi sita kupita toka Mtoto wa Bobby Brown, Bobbi Kristina Brown kukutwa kadondoka bafuni hajitambui na kupelekwa hospitali kwa matibabu, taarifa za kifo chake zimetolewa Jumapili ya jana na familia yake. Bobbi Kristina kafariki na umri wa miaka 22 miaka mitatu baada ya kifo cha mama yake mwanamuziki Whitney Huston aliyefariki kwa matumizi ya dawa za kulevya. #R.I.P