Serikali ya China,imepiga marufuku
kuvuta sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa Beijing. Maelfu
ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika maeneo yote ya wazi na
watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa faini.
Hata hivyo China
ina wavuta sigara milioni mia tatu wakati sheria ya kusitisha wavutaji
sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing ilipopitishwa kwa mara ya
kwanza na kushindwa kutekelezeka.Ripoti inasema kuwa watu wengi
wanadhani sheria hiyo ya kukataza kabisa uvutaji sigara haitafanya kazi.Topics: MATUKIO
Imehaririwa na;- poatel Africa
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.

Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Hivi karibuni mdau mmoja wa Website hii alinitumia e-mail na kuniuliza ni kwa jinsi gani anaweza kuipata simu yake iliyo...
-
Mambo vipi Rafiki yangu? Kama wewe ni miongoni mwa watu wanaopendelea kuweka Pattern kwenye simu zenu kwa usalama zaidi, Basi msijali...
-
Si wengi wetu wanaofahamu umuhimu wa kula samaki mara kwa mara na jinsi kitoweo hiki kilivyo na umuhimu wa kipekee katika afya ya bina...
-
Computer ina uwezo wa kufanya mambo ambayo binadamu hatokuja kuweza kuyafanya kirahisi. Lakini, haiwezi kufanya kitu bila kupewa amri ...
-
SCHOLARSHIP ANNOUNCEMENT (8 Scholarships) MWALIMU JULIUS NYERERE MEMORIAL SCHOLARSHIP FUND Deadline 14 th Septembe...
-
Nabii Samwel Mahela wa Kanisa la Pentecostal Power Ministry (PPM) lililopo Mikocheni A (katikati mwenye suti), akitoa hu...
-
CCBRT seeks to recruit individuals who are passionate about the work we do, who are compassionate in character and who have excellent ...
-
Kampuni ya Nokia yajiandaa kuingilia soko la saa za kisasa Kampuni ...
Data Boosta
