Header ads

Header ads
» »Unlabelled » Polisi wakamata tani 12 za madawa ya kulevya ARUSHA


Operesheni dhidi ya madawa ya kulevya Tanzania
Polisi nchini Tanzania wameripoti kutia mikononi tani 12 za madawa ya kulevya siku ya Jumamosi katika mji wa Arusha ulioko kaskazini mwa nchi.Mkuu wa polisi wa Arusha Liberatus Sabas aliarifu kwamba operesheni ilitekelezwa kwa lengo la kuikomboa nchi kutokana na ulanguzi wa madawa ya kulevya.
Operesheni hiyo ilitekelezwa kwa ushirikiano wa polisi, idara ya kukabiliana na madawa ya kulevya pamoja na vikosi vingine vya usalama.
Katika operesheni hiyo iliyofanyika kwa siku tano mfululizo, polisi wamefanikiwa kuharibu hekari 15 za mashamba ya madawa ya kulevya katika maeneo ya Mlima Meru nchini Tanzania.

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post