Header ads

Header ads
» » Kuelekea Uchaguzi.....Bilionea Mathias Manga apigwa risasi Arusha

Hatimaye siasa za Tanzania zachukuwa sura mpya, habari nilizozipata muda huu nikwamba mathias manga bilionea wa jiji la Arusha amepigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akielekea nyumbani imelezwa kuwa watu hao walifanya jitihada zote lengo ilikuwa ni kumteka lakini mfanyabiashara huyo alijitetea mpaka akajitoa ndo wakaamuwa kumpiga risasi.




Niko nafuatilia kwa karibu kujuwa soon ntawaupdts japo kwa habari za haraka haraka wanasema kuna siasa ndani yake.

Ikumbukwe Mfanyabiashara huyu amekuwa akiwakosesha usingizi mahasimu wa siasa wa aliyekuwa wazir mkuu mh Edward Lowassa.

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post