Header ads

Header ads
» » Aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Twitter ajiuzulu

Dick Costolo,ambaye alikuwa mkurugenzi wa Twitter ajiuzulu na nafasi ya ke kuchukuli kwa muda na Dorsey

  Mameneja waandamizi na Mkurugenzi mtendaji wa mtandao wa kijamii Twitter  Dick Costolo amejiuzulu.
Katika taarifa iliyotolewa kutoka  Twitter, Costolo anatarajia kumaliza muda wake tarehe 1 mwezi Julai, na nafasi yake inatarajiwa kuchukuliwa kwa muda na Dorsey aliyekuwa mkurugezi mwaka 2007 na 2008.
Costolo, amezungumza Katika taarifa yake, kuwa ukuaji wa timu Twitter na lengo la kutaka kubadisha dunia ,na pia alieleza kuendeleza dhamira ya kuwa na Bodi ya wakurugenzi.
Costolo ambaye ameiongoza twitter kwa muda wa miaka  6,amesema haya wakati alipokuwa anajiuzulu  "ninayofahari kubwa kwa timu yake ya Twitter."

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post