
WaTanzania wenzangu nomba kuchukua nafasi hii kumpongeza dada yetu @ladivamillen ambaye amechanguliwa kwenda kuchukua BET Global Good Award kwenye tuzo za Mwaka huu za BET Awards Marekani. Ni category mpya ambayohaina mipaka na haina nominees kachaguliwa yeye kuwa anastahili kukabidhiwa tuzo hiyo. Lakini pia ni tuzo ya kwanza ya BET kwa Mtanzania.
Ni jambo la kujivunia. Mimi nimefurahi mnooooo alivyoanza kuzungumzia ugonjwa wake kama elimu kwa wengine watu walimbeza, wako walitaka kumkatisha tamaa ila sasa ona Mungu kamwinua katambuliwa kimataifa kwa kazi zake na dunia nzima tutam-salute pia. It's always about you and your God first. God bless you my sister @ladivamillen kwanza mzuri, una moyo mzuri, moyo wa dhahabu huna shida na mtu. You are a true Tanzanian Icon. More power to you. Mungu azidi kukuinua.
Nakupenda. Naomba tumpogeze dada @ladivamillen kwa heshima hii kubwa aliyopewa. Usengwile wanachama. ❤️❤️❤️#MwanamkeWaNguvu
Home
»
MATUKIO
» Millen Magese Kuwa Mtanzania wa Kwanza Kupata Tuzo ya BET, Ugonjwa Wake Wamfanya Ajulikane Dunia Nzima
Topics: MATUKIO
Imehaririwa na;- Unknown
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Ingawa nipo Arusha,naendelea kudokezwa yanayochomoza vikaoni (ndani ya CCM) na katikati ya makada wa haja. Nimedokezwa kuwa CCM inaelekea ...
-
WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waziri huyo amba...
-
KAMATI ya Taifa ya Matumizi Salama ya Bioteknolojia (NBC) imeridhishwa na matumizi ya Teknolojia ya Uhandisi Jeni (GMO) yenye len...
-
Huu ndo ujio mpya Rehema Chalamila aka Ray C baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye muziki amerudi rasmi na hii singl...
-
Hivi karibuni mdau mmoja wa Website hii alinitumia e-mail na kuniuliza ni kwa jinsi gani anaweza kuipata simu yake iliyo...
-
Kampuni moja ya Florida, Marekani imekuja na dhana ya kujenga meli ‘Freedom Ship’, itakayokuwa na uwezo wa kuwa na kila kitu ch...
-
Makala hii inakupa maelekezo ya mambo adimu katika kusimamia barua pepe zako, ili kuboresha ufanisi na- kufurahia kuwa na akaunti ya ema...
-
Kuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa ...
Data Boosta