Asilimia zaidi ya 90% ya watu waliokuwepo uwanjani wamegharamiwa. Bodaboda walilipwa, Wanafunzi walisafirishwa, Waandishi walilipwa. Wachache walioenda kwa hiari yao walienda kushangaa tu wala sio mashabiki wa Lowassa. This is to say ikiwa Lowassa asingetumia pesa huenda uwanjani angekua yeye na familia yake tu.
2. Wengi wanaomuunga mkono Lowassa ni "opportunists". Ni watu
wanaotegemea akiingia madarakani awakumbuke. Either awape vyeo au awape
unafuu kwenye biashara zao. Hakuna yeyote kwny kundi la Lowassa
anayemuunga mkono kwa lengo la kuisaidia nchi.
3. Afya ya Eddo imedhoofu sn na hawezi kuwa Rais wa nchi. Alipoingia
uwanjani ameshindwa kupanda ngazi za jukwaa, akasimama katikati ya ngazi
kwa dakika chache kabla ya kusaidiwa kupanda. Pia anaongea kwa Shida,
na mikono yake haina nguvu. Hali hii imesababisha ashindwe kushika
microphone alipopewa "mike" na Kibonde. Mzee Kingunge yupo fit kiafya
kuliko Eddo.!
4. Mkutano wa Lowassa leo ni biashara kama zilivyo biashara nyingine.
Kuna watu wamepata hela ya kulipa mahari kupitia mkutano huu, kuna
waliopata mitaji ya kukuza biashara zao na kuna waliopata lift za bure
za kwenda Arusha kufanya mambo yao. Hii inaitwa "mbwa kala mbwa"
5. Kutokana na maelezo ya Eddo ni wazi kuwa ana "bifu" na JK. Amekiri
kuwa alimpigania sn Kikwete 1995 na 2005 lakini inavyoonekana JK
amemsaliti.
6. Akiingia madarakani atalipiza kisasi kwa wabaya wake wote hasa Samuel
Sitta, Anthony Diallo na vibaraka wao wote. Ikiwa Eddo atashinda kuna
dalili Sitta, Dialo, Makonda, na vibaraka wengine wa CCM wakaishia
jela.!
7. Mkutano wa leo ulikua ni mkwara wa kuionesha Kamati kuu ya chama
chake kuwa ana nguvu kiasi gani, ili wasijaribu kabisa kukata jina lake
wakihofia kukipasua chama.
8. Safari ya matumaini ni safari ya matamanio. Au unaweza kuiita safari
ya matumizi. Huwezi kutumia 1.4 bilion for just a single day wakati kuna
watu wanakufa kwa kukosa "padadol" ya shilingi mia halafu ukasema ni
matumaini. Labda matumaini ya kuuza nchi.!
9. Ikiwa Eddo atashinda Yuko tayari kutumia rasilimali za nchi ili
kulipa fadhila kwa rafiki zake waliomuunga mkono wakati wa kugombea. Kwa
mfano yupo tayari kumgawia Mengi vitalu vya gesi Mtwara na kuwaacha
watanzania wasinufaike na gesi yao kisa tu Mengi alimpa support kwny
kugombea.
10. Lowassa ni msanii mzuri wa sanaa za maonesho. Ametumia makundi yote
mawili ktk kufanikisha azma yake. Kundi la Maskini na kundi la
matajiri.Ametumia maskini kwa kuwaahidi kuwa atawabana matajiri walipe
kodi ili kuboresha maisha ya maskini.
Na ametumia matajiri akiwaahidi kuwa atawabana maskini ili wasipige
kelele wakati anawagawia matajiri rasilimali za nchi. Hii ni sanaa. Ha
hakika hapa Eddo ameitumia vizuri elimu yake ya sanaa ya chuo kikuu cha
Dar es Salaa. (B.A in Fine &Perfoming Arts).!