Header ads

Header ads
» » Diamond amesharekodi collabo na msanii huyu Mkubwa Wa Marekani


Diamond Platnumz is Unstoppable! Ni Muda Mrefu sasa tukisikia tetesi kuwa amerekodi ngoma na msanii mkubwa wa Marekani japo hakuwahi kumtaja,lakini tunaweza kuwa na ubashiri sahihi!

Muimbaji huyo alikuwa akiongea kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Tv leo asubuhi ambapo aliulizwa ni msanii gani wa nje ya Afrika anayependa kufanya naye kazi.

Diamond alidai kuwa tayari msanii anayemkubali zaidi nchini Marekani ameshafanya naye kazi japo hakupenda kumtaja tena.

Aliombwa amtaje msanii mwingine tofauti na huyo na kusema wasanii watano anaowapenda zaidi nchini Marekani ni Nicki Minaj,Chris Brown na Usher Raymond na Kwamba mmoja kati ya hao tayari ameshafanya naye ngoma

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post