Header ads

Header ads
» » Breaking Newwz Ajali: Mabasi la NGORIKA na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 20


Taarifa nilizopata hivi punde ni kwamba basi la NGORIKA na RATCO yamegongana uso kwa uso eneo la Msata na kusababisha vifo kadhaa.










=========== Updates ===========

Mpaka sasa maiti kumi zimeshatolewa huku jitihada zaidi zikiendelea kujua kama bado wapo ambao wamo ndani ya magari hayo yaliyogongana uso kwa uso au laa.

Picha hizi ni kwa hisani ya Mtandao wa Mabalozi wa Usalama barabarani Tanzania (RSA).

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post