Diamond akiwa kwenye choo/bafu la ikulu yake kama anavyoiita. Dhahabu halisi zilizowekwa kwenye choo hicho zina thamani ya shilingi milioni 70
“In my 70Million Pure Gold plated toillet…pupping and Movies Lol!emoji..i can’t wait to play dirty game with her tonight emoji IN THE MAKING OF STATE HOUSE!!!.. I can’t wai for the State house to Be Done,” ameandika.
Staa huyo wa ‘Number One’ Jumapili hii aliamua kudhihirisha utajiri wake kwa kuonesha nyumba yake ya kifahari iliyopo Tegeta jijini Dar es Salaam. Nyumba hiyo anayoiita ‘state house’ na ambayo anasema ni yake 10 sasa, imepambwa kistaa.
Jiko
Katika picha nyingine, Diamond ameonesha gypsum kwenye chumba chake ambayo imeandikwa jina lake ‘Diamond Platnumz’.
“The view of my Custom made designer Gypsum Ceiling from my Bed,” ameandika.
Kwenye nyumba hiyo Diamond amesema kutakuwepo pia ukumbi wa kuchezea muziki, gym, studio, eneo la kuchezea darts na uwanja wa mpira wa kikapu.
“A year ago| Three weeks ago…. The Making of the State House!!!! My 10th House!..By the way Don’t get twisted, das jus a Pool area #Gym #Jaccuzi #Counter #DancingHall #Studio #DartsCourt #BasketballCourt Etc,” ameandika.
Home
»
MAISHA NA MAFANIKIO
» PICHA: TAZAMA NYUMBA YA 10 YA DIAMOND PLATINUMZ YENYE CHOO ZA DHAHABU,GYPSUM YA JINA LAKE, POOL , BAR YA MIL 70.
Topics: MAISHA NA MAFANIKIO
Imehaririwa na;- Unknown
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
MSANII wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu', usiku wa kuamkia leo amefanikisha zoezi ...
-
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
-
Kuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa ...
-
Wanasayansi nchini Sudan wanashirikiana na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), pamoja na Shirika la Chakula na Kilimo (FA...
-
Rais Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa ofisi ya Se...
-
Meli kubwa zaidi ya abiria duniani iliyoundwa katika karakana ya Saint-Nazaire kusini mwa Ufaransa, imeanza kufanyiwa majaribio bahar...
-
Ni miaka mitano baada ya kuanza kutumika kwa 4G smartphone, sekta ya wireless hipo tayari kwa maandalizi ya ujio wa 5G. 5G n...
-
Vadim Makhorov na Vitaly Raskalov walisisimua watu kupitia mtandao wa intaneti mnamo ...
-
Kampuni moja ya Florida, Marekani imekuja na dhana ya kujenga meli ‘Freedom Ship’, itakayokuwa na uwezo wa kuwa na kila kitu ch...