Baadhi ya wahitimu wa sitashahada ya Uchakataji wa Samaki, Ubora na Masoko wakiwa katika msafara wa maandamano ya amani kuelekea ukumbini
Baadhi ya Wanafunzi wa kitivo cha Ufugaji Samaki (AQUACULTURE) wakiwa katika picha ya pamoja
Baadhi ya wanafunzi wa Wahitimu wa kozi ya Mazingira na maliasili za Pwani wakiwa na nyuso za furaha
Mkuu wa chuo cha Wakala wa Elimu na Mafunzo ya Uvuvi akizungumza maneno machache kabla ya kumukalibisha Mgeni Mwalikwa
Mgeni mwalikwa akisoma hotuba mbele ya Wahitimu na watu wote walio uzuria maafari hayo ya tatu yaliyofanyika jana katika ukumbi wa chuo cha Wakala wa elimu na mafunzo ya Uvuvi Mbegani Bagamoyo
Picha ni Mgeni mwalikwa akimukabizi cheti muhitimu wa ngazi ya Sitashada ya Uchakataji wa Samaki na Ubora Sada Said..