
Watu wawili wamefariki dunia baada ya kuzama ndani ya ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa na mchungaji Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of SILOAM. Wakati wakiendelea na ubatizo wimbi likawapiga na kusababisha watu wawili kupoteza maisha
poatel Africa Monday, 4 August 2014 0 No comments

Topics: MATUKIO
Distributed By TeknoTaarifa Media and Tech Services | Designed by Abdallah Magana