Header ads

Header ads
» »Unlabelled » WAASI WA M23 WATOA VITISHO VIKALI KWA TANZANIA KWA MARA YA PILI. HALI SASA SI SHWARI. SOMA WALICHOKISEMA HAPA


Picture
Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni leo kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.

Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC ‏@m23congordc 16h
@ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto 

 MAJIBIZANO  YAO  NA  WAZIRI  MEMBE

PicturePicture


Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post