Pretoria,Afrika Kusini
NDUGU wadau wa tovuti ya Habarimpya.com tunaomba
radhi kwa kuwaletea picha hii ya msanii wa muziki wa kizazi kipya Albert
Mangwea, aliyefariki Dunia juzi nchini Afrika Kusini,tunatambuwa kuwa
picha hii si nzuri lakini tumelazimika kuwaletea ili mshuhudie jinsi
mpendwa wetu alivyokuwa kabla ya kutengenezwa.
Kiukweli Mangwea alikufa kifo cha masikitiko, msanii huyo aliyewai
kutamba na wimbo wa Geto langu pamoja na mikasi iliyotengenezwa na
mwaandaaji wa ala za muziki nchini Tanzania P Funk Majani.
Mangwea alikutwa amekufa katika chumba walichokuwa wamelala na msanii
wa mwenzake M 2 The P, Mangwea alikutwa amelowa damu nyingi, ambazo
zilikuwa zikitoka kwa wingi kupitia mdomoni,puani na masikioni.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wameiambia Habarimpya.com
kwamba kitendo cha msanii huyo kuvuja damu nyingi ndiyo iliyosababisha
kifo chake na kwamba hata jopo la Madaktari waliompokea walishangazwa na
damu hizo kabla ya uchunguzi kufanyika.
Topics: MATUKIO
Imehaririwa na;- Unknown
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
MSANII wa Filamu Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu', usiku wa kuamkia leo amefanikisha zoezi ...
-
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...
-
Siku ya August 11, 2016 Gazeti la Bangladesh Daily Star liliripoti kuwa Tume ya Udhibiti wa Mawasiliano ya Simu ya Bangladeshi iliamu...
-
CHANGAMOTO ya kuwaendeleza vijana kitaaluma nje ya nchi imezidi kuongezeka hivyo viongozi ndani na nje ya nchi wapo katika jitihada kut...
-
Kuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia leo. Inadaiwa ...
-
Wanasayansi nchini Sudan wanashirikiana na Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA), pamoja na Shirika la Chakula na Kilimo (FA...
-
Rais Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe Ombeni Sefue wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa ofisi ya Se...
-
Meli kubwa zaidi ya abiria duniani iliyoundwa katika karakana ya Saint-Nazaire kusini mwa Ufaransa, imeanza kufanyiwa majaribio bahar...
-
Vadim Makhorov na Vitaly Raskalov walisisimua watu kupitia mtandao wa intaneti mnamo ...