Hapa ndio ile sehemu kupigwa nipigwe mie,police kawahi yeye, kibao nimegeuziwa mie.
SUBIRIA KWA HAMU VIDEO HII ITAZINDULIWA JUMAPILI YA TAR 2 PALE NEW MAISHA CLUB KWA MARA YA KWANZA.
Abby kazi mzazi ndio mpango mzima kuakikisha anapata picha kali na za kisasa
Huyu kaka anaitwa abour jr alionekana
kuambatana sana na huyu binti kila sehemu ya eneo hili japokuwa
walikutana kwenye video mabwepande sijui alikuwa anataka kujiweka?????
naona hapo anachukua namba ya simu!!!11
BI SHASTA
CHEK BUDI
bwana manager HYPERMAN HK
Kula chungwa hakuhitaji kujivunga
chezea wacheza show wa snura wana laana !1 mama yao hasingewazaa hawa angepata kifafa cha uzazi dizasta kweli kweli.
wangu isabela babeiiiiiiii!
Mzee wa bongo dsm aliwakilisha
Aby kazi a.k.a mzee mzitooooooo
Malaika yuko na snura
doli za kinyama zilifungwa
hapana chezea emage array kabisa na mtoto abby kazi
iNTERVIEW zilihusika na bwana manager
check budy, mainda,nasri na talha.
kulia ni NASRI hk, na kushoto ni talha snura. manager na msanii wake.chezeamaji kufata mkondoo!!!
Malaika ameshashuka kutaka kusikiliza majanga ya wananchi yalivyokuwa mengi.
Mainda nae alikuwepo
Watoto wanaomba majanga yapungue kwa mana majanga yamezidi sana duniani
Hawa nao walifatana fatana sijui kulikuwa na nini kati yaooo.