STAA mwenye mvuto wa kipekee kwenye ‘industry’ ya filamu Bongo, Rose Ndauka hivi karibuni alitinga kivazi kifupi ambacho kiliwachengua madenti wa Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) ambao walibaki kumkodolea macho mwanzo mwisho.Mpango mzima ulitokea Aprili 13, mwaka huu katika Ufukwe wa Belinda, jijini Dar wakati mwanadafada huyo alipokuwa amealikwa katika sherehe za kuwakaribisha wanafunzi wapya wa chuo hicho.
Kutokana na kivazi hicho alichokivaa na mvuto alionao staa huyo, baadhi ya madenti wakware walionekana wakipoteza usikivu wa hotuba ya mgeni rasmi na kubaki kumtazama.
“Mh! Rose ni mzuri jamani uongo dhambi, nilikuwa nikimuona katika runinga leo nimemuona live daaah!” alisikika denti mmoja aliyeomba hifadhi ya jina lake.
Imehaririwa na;- poatel Africa
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Shindano la kumsaka mrembo kutoka mkoa wa Kilimanjaro ambaye atakua akiuwakilisha mkoa huo kwenye shughuli mbali mbali za kijamii limezindul...
-
Ubuyu kama tulivyozoea wengine wanauweka rangi na sukari unatengenezwa vizuri tunafanya kula na kuna wengine ule unga wake hutengenezea...
-
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ambae ameongea na Capital FM Nairobi, Mutula amekutwa akiwa amefariki dunia nyumbani kwake Macha...
-
TRA would like to recruit dynamic experienced and qualified personnel to fill vacant positions in the Research & Policy, Hum...
-
Huu ndo ujio mpya Rehema Chalamila aka Ray C baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye muziki amerudi rasmi na hii singl...
-
Kama ni mpenzi wa vitu vikali na bora na umejipanga kuchukua Mzigo mpya wa Kompyuta mpakato “Laptopo” kwa Mwaka huu 2016,Ni...
-
Mitandao ya Intaneti inatumika na watu wa aina mbali mbali duniani kwa madhumuni tofauti tofauti. Kwa ufupi hapa leo tutaangalia matum...
Data Boosta