"Binafsi sihitaji skendo ili niwe maarufu bali ninachofahamu ni uwajibikaji katika kazi ninayopewa na mtayarishaji wa filamu husika, ninachohitaji ni kusoma muongozo (script) vizuri kisha kuvaa uhusika kulingana na nafasi nitakayopewa kuigiza," alisema. "Mara nyingi wasanii tunahitaji hisia, hicho ndicho ninachofanya katika filamu zote nilizoigiza na kunifanya niwe bora." Msanii huyo ameshiriki katika filamu kadhaa zikiwamo 'Best Man', 'Wrong Decision', 'Identical', 'Samatha' na 'Doa La Ndoa'. Msanii huyo ni matunda ya kazi ya Mtitu kutoka 5 Effect ambaye mara nyingi hukuza vipaji vya filamu Bongo, makali ya Mariam yanafananishwa na ya mwigizaji wa kike wa Nigeria, Omotola Jalade. |
Home
»
MATUKIO
»
wasanii
» HUYU NDO MWIGIZAJI KUTOKA BONGO MOVIE ANAYESEMA KUA HAITAJI SKENDO ILI ATOKE
Imehaririwa na;- poatel Africa
Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
Playstore
TeknoTaarifa Video
TAARIFA ZILIZOSOMWA SANA
-
Shindano la kumsaka mrembo kutoka mkoa wa Kilimanjaro ambaye atakua akiuwakilisha mkoa huo kwenye shughuli mbali mbali za kijamii limezindul...
-
Ubuyu kama tulivyozoea wengine wanauweka rangi na sukari unatengenezwa vizuri tunafanya kula na kuna wengine ule unga wake hutengenezea...
-
Kwa mujibu wa mmoja wa wanafamilia ambae ameongea na Capital FM Nairobi, Mutula amekutwa akiwa amefariki dunia nyumbani kwake Macha...
-
TRA would like to recruit dynamic experienced and qualified personnel to fill vacant positions in the Research & Policy, Hum...
-
Huu ndo ujio mpya Rehema Chalamila aka Ray C baada ya ukimya wa muda mrefu kwenye muziki amerudi rasmi na hii singl...
-
Kama ni mpenzi wa vitu vikali na bora na umejipanga kuchukua Mzigo mpya wa Kompyuta mpakato “Laptopo” kwa Mwaka huu 2016,Ni...
-
Mitandao ya Intaneti inatumika na watu wa aina mbali mbali duniani kwa madhumuni tofauti tofauti. Kwa ufupi hapa leo tutaangalia matum...
Data Boosta