Header ads

Header ads
» » Google wamekuja na Program mpya kwa ajili ya walemevu


Huduma ya ramani ya Google yaongeza programu mpya kwa ajili ya walemavu wanaotumia magari ya walemavu .
Programu hiyo itarahisisha maisha ya walemavu kote ulimwenguni.
Hadi kufikia sasa Google inaunda programu ambazo husaidia watu wote katika kila upande wa dunia . 

Programu hiyo mpya itawaezesha walemavu kuweza kutafuta maeneo maalum kwa ajili yao ili kuwafanyia urahisi.
Programu hii ni mafanikio makubwa kwa Google kwa sababu itasaidia mamilioni ya walemavu waliopo duniani .

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post