Header ads

Header ads
» » Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook atekeleza ziara yake nchini Kenya


 Picha: Mark Zuckerberg akila Ugali na samaki nchini Kenya
Mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya mawasiliano mtandaoni ya Facebook Mark Zuckerberg alizuru Kenya siku tatu baada ya kukaa jijini Lagos Nigeria katika ziara yake ya kwanza barani Afrika .
Zuckerberg alikutana na wajasiriamali katika kitengo cha teknolojia nchini humo na kukutana na viongozi mbali mbali wa sekta ya ICT 
mark zuckerberg in kenya
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook Zuckerberg alituma ujumbe "Nimetua Nairobi,nipo hapa kukutana na wajasiriamali na kujifunza kuhusu teknolojia ya kutuma fedha kupitia simu,Kenya inaongoza ulimwengu katika kitengo hicho." 

Facebook founder Mark Zuckerberg was accompanied by his wife Priscilla Chan (back centred) in Lake Naivasha on Thursday, September 1, 2016 /FACEBOOK


Mwanzilishi wa Mtandao wa Facebook Mark Zuckerberg akijivinjari katika Hifadhi ya Wanyama pori ya Naivasha nchini Kenya

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post