Header ads

Header ads
» » Fahamu Jinsi ya kutumia sim card zote kwenye modem bila ku-Unlock


Habari yako msomaji wa TeknoTaarifa tuendelee kuhabarishana na kujuzana kuhusu haya maujanja huku kwenye ulimwengu wa teknolojia leo tuseme ku un-lock modem zetu leo ni mwisho kabisaaa sababu tunayo njia itakayotufanya tutumie line ya voda kwenye modem ya tigo au line yeyote kwenye modem yeyote bila hata kuifanyia un-lock fuata maelekezo haya utapata faida ya somo langu hili

Hizi ndizo hatua za kufuata

  • unachotakiwa ni kuwa na modem yeyote na line ya mtandao wowote unaotumika kwenye nchi uliyopo
  • weka modem yako kwenye mashine yako
  • funga software ya modem yako
  • fungua program yako ya nokia pc
  • kisha bofya sehemu iliyo andikwa "creat internet connection" itakuletea ujumbe huu "no device connected"
  • bonyeza "sparner like icon" itakuonyesha modem yako
  • bofya tena kwenye icon ili uweze kuset (kupanga) APN za internet kama unavyopanga kwenye simu yako
  • bofya conect

  • itaunganisha na kukuonyesha kasi ya internet yako
Mpaka hapo endelea kuenjoy kwa kutumia modem yako bila kuiflash kama hujaelewa sehemu yeyote weka coment yako hapo chini ili niendelee kukusaidia

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post