Header ads

Header ads
» » Maboresho:: Watumizi wa Whatsapp kutumia Italiki na 'Bold' katika maandishi

whats app playstore
Mtandao wa Whatsapp unaomilikiwa na Facebook watangaza maboresho ya kuweza kutumia 'Bold' na 'Italics'katika maandishi.
Kwa mujibu wa maelezo yaliyotolewa ni kuwa maboresho ya maandiko ya Whatsapp yanaweza kupatikana katika 'Whatsapp version 2.12.535.​'
Androidpit Whatsapp new feature 0096 Mnamo tarehe 19 mwezi Februari mwaka 2014 Whatsapp ilinunuliwa na Facebook kwa dola bilioni 19.3.
Mwezi Februari mwaka 2016 mtandao huo wa kijamii ulitangazwa kuwa mtandao bora zaidi wa kutoa huduma ya kutuma ujumbe baada ya kuwa na takriban watumiaji bilioni moja.

Imehaririwa na;- Unknown

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post