Header ads

Header ads
» » Fahamu njia rahisi za kutambua simu feki na simu orijino


 

Simu feki za android zipo madukani kwa wingi na tayari zimejipatia jina maarufu la ”kloni”. Itakushtua zaidi kwamba simu hizi zinafanana sana na orijino na si rahisi sana kuzigundua kwa haraka.

Kloni zimekuwa gumzo sana kwa Android kwa sababu, tofauti na mifumo endeshaji mingine, Android haimilikiwi na mtu au taasisi yoyote bali, inalelewa na Google. Kwa sababu hii, kampuni yoyote inaweza kuitumia itakavyo na kwa minajili hiyo, wafanyabiashara waovu huitumia kuwarubuni watu wengine.

Ufanye nini kubaini simu halisi?

Kubaini simu halisi si jambo rahisi. Jambo hili linategemea sana muda na uerevu wako, hata-hivyo, kuna njia chache za kukusaidia kuibaini simu halisi ya Android:

1. Angalia kwa makini jinsi simu ilivyotengenezwa kwa nje


Simu feki hujulikana kirahisi ukiangalia jinsi vibonyezo (batani) zilivyotengenezwa. Kloni huwa na batani zilizolegea na umakini wa kutengeneza simu nzima huwa mdogo sana. Unaweza kuangalia pia jinsi jina la simu husika lilivyoandikwa, kamera, ‘sensor’, umbali wa skrini kutoka pembezoni na mwanga wa skrini ya simu. Hizi huonekana tofauti sana na zile za simu halisi na itakuwa vizuri ukibeba simu uliyo na uhakika nayo ili kutofautisha.


2. Tumia kamera na angalia spidi ya simu

Kitu cha pili muhimu kuangalia ni camera. Simu feki hujitangaza mapema kabisa kwa kamera yake. Picha ya simu feki haiwezi kuwa maridadi. Chunguza sana jambo hili. Lazima kuwepo na ukungu-ukungu utakaojionyesha. Ukimaliza hapo, shusha programu moja nzito kama Google Drive au Google Docs na angalia jinsi hiyo simu itakavyoimudu. Kama ni simu inayofanana na ya bei kali kama Samsung Galaxy S5, shusha gemu moja nzito na angalia jinsi itakavyoimudu pia. Kama simu itaonyesha kulegalega, basi ongeza mashaka.


3. Chunguza Uwezo wa simu


Unapopata simu ya Android, jaribu kuingia mtandaoni na kutafuta uwezo ( ‘phone specifications’ ) wa simu husika kwa ku-google kwa mfano, ‘Samsung S5 Specifications’. Ukishapata orodha ya uwezo wa simu husika, ingia kwenye settings na tafuta ‘Storage’ na pia angalia ‘About Phone/Device’ kwa ajili ya ‘model number’ na  ‘build number.’ Hapa utaweza kuhakiki uhifadhi wa simu na pia namba ya modeli ya simu na pia build number ambayo unaweza kutafuta mtandaoni kama zinalingana. Ingawa simu nyingine zinaweza kudanganya uwezo, unaweza pia kushusha program mojawapo kama CPU / RAM / DEVICE Identifier kudhibitisha prosesa na kumbukumbu (RAM).


4. Tafuta ‘code’ maalum kwa simu husika

Watengenezaji wa simu wanajitahidi sana kulinda biashara yao na kwa maana hiyo huweka namba maalumu (‘service test codes au secret codes’) za kuhakiki uwezo wa simu yako kwa usalama zaidi. Namba hizo unaweza kuzipata ukichukua muda kidogo na kuchungulia mtandaoni.


5. Tumia programu ya kompyuta

Unaweza kuhakiki simu halisi kwa kutumia programu maalumu ya kampuni husika. Hizi programu zinapatikana kwenye kurasa rasmi za kampuni za simu kubwa duniani. Ukiunga simu kwenye kompyuta kwa kutumia USB, programu hizo zina uwezo wa kukupa modeli namba ya simu hiyo na taarifa nyingine muhimu kuhusu simu hiyo.

Ingawa elimu kidogo inaweza kukusaidia sana kuepukana na matapeli, kinga ni vyema zaidi kuliko matibabu. Hii ina maana kwamba, itakupendeza zaidi kama utajiwekea kanuni za msingi ili kamwe usipate mkasa wa kupoteza hela kwa simu feki. Kumbuka vitu hivi vya msingi sana:

BUKOBAWADAU SEARCH -TAFUTA . Home BUKOBA #Team Kanyawela#Njia rahisi za kutambua simu feki na simu orijino (1) Kabla kununua simu ikague kwa kupiga *#06# namba zinazoitwa imei(international mobile equipment identity) zitaonekana. Hizi namba ziko 15 au zaidi na ni lazima zianze na namba 35. kinyume na hapo hiyo feki... na km umepiga hiyo namba na imei hazijaonekana, hiyo pia feki tena aliyefekisha ni mbulula. (2) Angalia kama hizo namba za IMEI zinafanana na zile namba za nyuma ukichomoa betri pale chini. km hazifanani thats fake. Acha kununua simu kichwakichwa kisa umeona ina tochi mbili na laini (3) Take your time Share on facebook Share on twitter Share on email Share on print More Sharing Services 0 Posted by Bukobawadau at 4:31 PM Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook Reactions: 3 comment: Anonymous said... kanyawela nimewaelewa sanaaaaaa,asanteni nishabonyeza ki nokia changu IMEI nimeisoma live.abela wa bocko May 17, 2013 at 10:52 AM Cymah Wandelt said... iPhone yangu imeanza Na 0 Na namba 15 u mean my iPhone is fake lol! Naamini mswed hajaniuzia fake May 17, 2013 at 12:19 PM Anonymous said... Mimi imetokea IMEI 0/02 kwenye galax Sll yangu. Hiyo ni feki? May 18, 2013 at 2:24 PM Post a Comment Newer Post Older Post Home Translate Select Language​▼ MC BARAKA #HUYUNDIYEKURAYANGU COUNTER VISITORS web stats 0715505043 / 0784505045 . 0768397241 / 0754505043 My Photo Bukobawadau Contact us: Email:bukobawadau@gmail.com Phone :Mc baraka:O784 505045,0754 505043,0715 505043 Sir.loom inc:0713 397241 View my complete profile Popular Posts LOWASSA KAMA LULU TANGA Mgombea wa nafasi ya urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vinne vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi UKAWA, Mh.Edwrad Lowass... HABARI PICHA MAPOKEZI YA MWILI WA MZEE JOSEPH MSHUMBUSI MJINI BUKOBA LEO SEP 10. Mjini Bukoba mamia ya watu na Viongozi mbalimbali wamejitokeza Uwanja wa ndege kushiriki mapokezi ya Mwili wa marehemu mzee Joseph Mshu... VIDEO /PICHA MTITI WA LOWASSA BUKOBA LEO Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, leo Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba ,hakika tunapata kush... SIMULIZI ;UNFORTUNATE LOVE SEHEMU YA 1. katika maisha yangu ya kimapenzi nilishwahi kutoka na kufanya mapenzi na wanaume wanne na nikadanganywa, nikaumizwa na kukosa raha, niliku... HII NDIYO NYUMBA YA KISASA ILIYOPO KIJIJINI BUGANGUZI YENYE SIFA NA VIGEZO STAHILI Naam!Kwa mara nyingine libeneke la Bukobawadau linakuletea taswira kamili ya moja kati ya nyumba iliyopo kijijini Buganguzi Wilayani Mule... MAGUFULI BUKOBA KEEPS IT AT THE PEAK Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi... LOWASSA MJINI MULEBA, MKOANI KAGERA LEO MAELFU ya wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ... MTITI WA LOWASSA MJINI BUKOBA NI BALAAA! Mkutano wa Mgombea Urais wa Chadema kupitia Mwamvuli wa UKAWA, Edward Lowassa, leo Viwanja vya Gymkhana Mjini Bukoba ,hakika tunapata kush... MATUKIO SEND OFF YA MREMBO IRENE KAYUNGA Matukio yaliyojili wakati wa tafrija maalum ya kumuaga Biharusi mtarajiwa Bi Irene Kayunga (pichani kulia)na kumtakia kila la heri katika ... 'LWAKIS' AENDELEA NA MIKUTANO YAKE YA KAMPENI KUUSAKA UBUNGE JIMBO LA BUKOBA Matukio yaliyojiri jana mkutano wa UKAWA wakimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Hamugembe,Uliofanyika katika Viwanja vya Kashabo-Kanisani,... MANJI VS MENGI CLOUDS TV SEMADAT BLOG CHINGAONE MWANAHARAKATI MZALENDO HARAKATI360 MCHIMBUZI.COM RIDDIM MUSIC INNOCENT.M.BLOG JEDDY BLOG WATEMI.COM MILLARDAYO THE CHOICE TANZANIA 4BLACK AMERICA AL JAZEERA MIRROR UK GOVERNMENT BLOG JOKATE.TV DJ COOLMC MUSICPLACE NIKE Tanzania Daima LENZI YA MICHEZO MAJIRA IKULU WIZARA YA AFYA TWENDE HARUSINI JAMII FORUMS PAMOJA CCM CHAMA DAILY NEWZ HAKINGOWI CHICHI HOTEL SANGA FESTO SHAFFIHDAUDA NDGSHILATU IPP MEDIA BUNDAKA WILLIAM RAIA MWEMA WILLIAM MALECELA NEWERALIMITED MTV BASE CHADEMA BLOG GOAL DJ FETTY KABELEJE JR. TUNEIN RADIO MBAO NEW COFFEE TREE HOTEL DINAMARIOS BUGANDO LIVINGWATERCENTERKAWE WAVUTI KAJUNASON G sengo JUKWAA HURU MICHUZI UNIQUE ENTERTAINMENT Tanzania Real Estate FOLLOW US Followers AIRTEL MONEY BONGO FLEVA IDADI YA WATU free hit counter Labels b (1) BUKOBAWADAU BLOG (2) M (1) Rais Kikwete akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa wananchi wa Muleba baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji kwa wilaya hiyo (1) Blog Archive WASILIANA NASI KUPITIA 0715505043 / 0784505045 0768397241 / 0754505043 . SIR.LOOM INC & MC BARAKA . IDADI YA WATU [free website hit counter] hit counter html Copyright © 2015 BUKOBAWADAU . MODIFIED BY SALUM S.GALIATANO (SIR.LOOM INC.)

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzuluv
Au tumia njia hii rahisi pia


1) Kabla kununua simu ikague kwa kupiga *#06# namba zinazoitwa imei(international mobile equipment identity) zitaonekana. Hizi namba ziko 15 au zaidi na ni lazima zianze na namba 35. kinyume na hapo hiyo feki... na km umepiga hiyo namba na imei hazijaonekana, hiyo pia feki tena aliyefekisha ni mbulula.

(2) Angalia kama hizo namba za IMEI zinafanana na zile namba za nyuma ukichomoa betri pale chini. km hazifanani thats fake. Acha kununua simu kichwakichwa kisa umeona ina tochi mbili na laini

(3) Take your time
 

Moja: Nunua simu kwenye duka linaloaminika.


Pili: Ikiwezekana, jaribu sana kununua simu kwa garantii ya muda mrefu.

Tatu: Epuka matapeli. Kama umepata dili linaloonekana kuwa zuri kupindukia, tumia njia hizi nne ulizopata hapa na kama bado hauna uhakika – achana nayo.

 

Imehaririwa na;- poatel Africa

Habari yako! Endelea kutembelea Tovuti ya TeknoTaarifa kwa Taarifa murwa za Teknolojia kutoka ndani na nje ya Tanzania, Tupo kwa ajili ya wapenzi wa Teknolojia.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post